Faida Jinsi inavyofanya kazi Vifurushi Pakua apps Maswali Ingia Anza bure

Simamia biashara yako
popote kwenye duka.

POS na usimamizi wa duka kwa Tanzania na Afrika. Fanya mauzo bila mtandao. Sawazisha ukiwa online. Jua faida yako kila siku.

Imeundwa kwa duka lako

Imeundwa kwa jinsi biashara yako
inavyouza kila siku.

Duka la mtaa

Maduka

POS ya haraka kwa duka la mtaa.

Boutique

Boutique

Stoki, bei na wateja mahali pamoja.

Duka la hardware

Hardware

Bidhaa nyingi, madeni na wasambazaji.

Mini supermarket

Mini supermarket

Matawi, watumiaji na ripoti za kina.

Pharmacy

Pharmacy

Fuatilia stoki na muda wa bidhaa.

Restaurant

Restaurant

Mauzo ya haraka, matumizi na faida.

Jukwaa moja

Kila kitu unachohitaji.
Njia zote za kuuza.

Jenga mauzo kwenye POS, simamia stoki, rekodi madeni, kisha washa sync ukiwa online.

dukadaftari.co.tz/mauzo

Tazama mauzo
yanapotokea.

Kila mauzo, deni na matumizi yanaonekana kwenye dashboard — hata yaliyofanywa offline.

  • Feed ya mauzo papo hapo
  • Sync otomatiki ukiwa online
  • Ripoti za faida zimejengwa ndani
Fungua dashboard ›
Mauzo · leo

TZS 0

↑ 12.4%
Mauzo hai
MN
Sukari 1kg × 4Cash
+TZS 10,000
JM
Mafuta 2LM-Pesa
+TZS 8,000
MS
Mchele 5kgTigo Pesa
+TZS 15,000

Maduka yanayotumia Duka Daftari
kila siku.

Vifurushi

Chagua kifurushi
kinachokufaa.

Anza na Free Trial ya siku 7. Gairo, Kibaigwa, Pandambili — Mwezi, Miezi 6 au Mwaka.

Gairo

  • Ripoti Basic · Bidhaa
  • Duka 1 · Stoo 1 · User 2
  • SMS wiki 4
  • POS na dashboard
Chagua Gairo
Kibaigwa · Inayopendwa

  • Ripoti Advanced · CRM
  • Duka 3 · Stoo 1 · User 5
  • POS offline · Deni · Barcode
  • Business Health Score
Chagua Kibaigwa
Pandambili

  • Ripoti Account Advanced
  • Duka 10 · Stoo 2 · User 15
  • SMS daily 30 · Bulk SMS
  • Health Score Advanced
Chagua Pandambili
Enterprise
Bei Maalum pakeji maalum

  • Limits zinakubaliwa na timu
  • Features maalum
  • Dedicated support
  • Omba pakeji maalum
Wasiliana Nasi

Sajili sasa — Free Trial ya siku 7. Lipa Mwezi, Miezi 6 au Mwaka baada ya trial. Hakuna kadi.

Apps

Pakua Duka Daftari
kwenye kifaa chako.

Android, iPhone, Windows au browser — chagua jukwaa lako. Link inakupeleka moja kwa moja.

Web app

Fungua kwenye browser — Chrome, Safari au Edge. Hakuna kusakinisha.

Fungua Web app

Je, unahitaji msaada wa kusakinisha? WhatsApp +255 712 605 300

Maswali

Maswali, yamejibiwa.

Kila unachohitaji kujua kabla ya kuanza.

Duka Daftari inagharimu kiasi gani?

Anza na Free Trial ya siku 7. Kisha Gairo kuanzia TZS 13,900/mwezi, Kibaigwa TZS 29,900/mwezi, Pandambili TZS 59,900/mwezi. Unaweza pia kulipa Miezi 6 au Mwaka kwa punguzo. Enterprise ni bei maalum.

Je, inafanya kazi bila mtandao?

Ndiyo. Mauzo, stoki na madeni yanaendelea offline. Ukiwa online, data inasawazishwa otomatiki.

Ninaweza kupokea M-Pesa?

Ndiyo. Cash, M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na kadi — yote yanarekodiwa kwenye POS.

Je, ninaweza kuongeza watumiaji?

Gairo watumiaji 2, Kibaigwa 5, Pandambili 15, Enterprise kwa makubaliano. Mmiliki anaweza kuongeza wafanyakazi.

Nahitaji kusakinisha app?

Unaweza kutumia browser papo hapo, au pakua Android, iPhone, Windows au fungua Web app. Angalia sehemu ya Pakua apps.

Biashara yako inastahili
mfumo bora.

Jaribu bure siku 7 › Pakua apps